Mbinu za Biashara kwa Vijana wajasiliamali na Wahandisi wote wanaotaka kuanzisha Biashara. Utapata Mawazo na mafunzo juu ya siri zilizojificha katika Biashara, Tunakupa ushauri wa kitaalamu zaidi ili kukusaidia kutimiza ndoto zako kwa mafanikio makubwa.